Muigizaji mrembo wa Nigeria Ini Edo ameachana rasmi na mumewe waiyeishi nae kwa miaka mitano, Ini amefuta jina la mumewe kwenye account zake za social media na pia ameto stutus ya married, na inasemekana kwamba ndugu wa Ini wamesharudisha mahali kwa mume wa Ini, ,,,,,,,,,,kumbe kwa wenzetu mkiachana mahali inarudishwa...... Huu mwaka umekua na talaka nyingi kwa watu maarufu lakini pia umekua na ndoa kama ya Brad na Angelina, GEROGE CLOONEY, GABRIELLA UNION, LUCY KOMBA N.K
No comments:
Post a Comment