Mshiriki na mshindi wa big brother mwaka jana kutoka Namibia anayeitwa DILISH ameshare picha zake akiwa katika moja ya vijiji huko kwao Nabia ambalo watu wake ni wakabila la HIMBA, kabila hilo kama waswaziland yani matiti yanapunga hewa basi mshindi huyo wa Bigbrother naye alipofika huko wanakijiji hao waliamua kumvisha na yeye nguo za kitamaduni ambapo na yeye MATITI yalikua yanapunga hewa japo alijitahidi sana kuziba niples,
HAYA WAJAMENI TUKIVAA VIMINI TUNAZOMEWA, KUMBE UTAMADUNI WETU WA KIAFRICA SIO VIMINI TU, BALI NI VIMINI,NA VITOP VYA KUACHA TUMBO WAZI AU MAZIWA WAZI KABISA, WALE WAZOMEAJI WAENDE NA NAMIBIA NA SWAZLAND KUWAZOMEA AU WAWAZOMEE WACHEZA NGOOMA MAANA NGOMA ZETU PIA HUWA TUNAVAA VIMINI VYA MAGOME YA MITI NA KUANZA KUYARUDI .......im just saying
No comments:
Post a Comment