Monday, October 27, 2014

WEMA SEPETU IN DUBAI....


Hivi sasa mwanadafada huyu expenxive wa Bongo Movies yuko Dubai na crew yake ya Endeless fame, labda niwakumbushe tu week mbili zilizopita Wema alikua HONG KONG yeye na Martin na Petit man na hivi sasa wamepitiliza mpaka DUBAI.


WANAFANYA NINI HATUJUI, KUNA KIPI CHAJA TWASUBIRI, HONG KONG WALIENDA KUFANYA NINI HATUJUI, JE UNAHISI KUTAKUA NA SUPRISE YA AINA YAKE KWA HUYU MWANADADA AMBAYE SAFARI ZAKE HIZI ZA KIMYA KIMYA ZINAASHIRIA MAMBO MAZITO ........

MI NASUBIRI ILI NIPATE CHA KUANDIKA MAANA IM SURE WEMA KUNA KITU KIPYA KIKALI KINAKUJA KUTOKA KWAKE .



1 comment:

Anonymous said...

Shopping ya harusi