LEMUTUZ NATION AKIWA NA HOT LULU MICHAEL
WEMA SEPETU
Yani burudani kubwa hivi sasa huko instagram ni juu ya Le Mutuz ambaye ni motto wa mh Malechela na team Wema, kikubwa ni kwamba toka siku Lemutuz alipomtia ndani team Wema mmja basi team Wema wamefungua account za kumrusha mchakamchaka Lemutuz ambayo ni burudani kwa kweli, maana kila Lemutuz anapopost kitu basi kuna account special ya kumjibu ambayo ni SHANGAZIYAKEMATIKIBOKOYAO, yani hii huwa kazi yake ni kuangalia leo Lemutuz kakosea wapi ili imkosoe, na Lemtuz nae hakubali kushindwa nae lazima wanapomkosa awajibu, BASI KWA SISI WATAZAMAJI YANI TUNABURUDIKA KWELI MI KILA ASUBUHI LAZIMA NIANGALIA LE BIG SHOW KAPOST NINI THEN NAGEUKA KWA SHANGAZIYAKE MATIKIBOKO YAO NIONE KAJIBU NINI ALAFU NDO NAENDELEA NA MAMBO YANGU, YANI HADI KUANGALIA MOVIE NIMEACHA MANAKE MOVIE ZA NINI WAKATI MOVIE IPO INSTA BASI NATEMBEA NA POPCORN ZANGU NA PEPSI KILA BAADA YA NUSU SAA NACHUNGULIA KUNANI. anyway kwenye maisha kurekebishana ni jambo la kawaida kwa hyo shangazi na Lemutuz endeleeni kurekebishana na sisi tunajifunza na kuburudika kupitia nyie.
No comments:
Post a Comment