Mama yake na KIM KARDASHIAN anayeitwa CHRISS JENNER amekutwa na Serengeti boy akitoka nae kwenye mgahawa wa chakula ambapo walipitia mlango wa nyuma ili kukwepa ma paparazzi lakini waliwabamba kama mnavyowaona, wengi wametoa maoni wakisema naona sasa hivi mama huyo mwenye umri wa miaka 59 ameamua kufuata nyayo za watoto wake kwa kua na mahusiano na wanaume wa kiafrica,
tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Sunday, October 12, 2014
MAMA YAKE NA KIM KARDASHIAN ABAMBWA NA SERENGETI BOY WA KIAFRICA..
Mama yake na KIM KARDASHIAN anayeitwa CHRISS JENNER amekutwa na Serengeti boy akitoka nae kwenye mgahawa wa chakula ambapo walipitia mlango wa nyuma ili kukwepa ma paparazzi lakini waliwabamba kama mnavyowaona, wengi wametoa maoni wakisema naona sasa hivi mama huyo mwenye umri wa miaka 59 ameamua kufuata nyayo za watoto wake kwa kua na mahusiano na wanaume wa kiafrica,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment