Friday, October 3, 2014

TAZAMA MFANO WA HARUSI YA DIAMOND NA WEMA SEPETU ITAKAVYOKUA ...........






















































Siku ya jana ilikua ni siku ya kuzaliwa ya mwanamziki DIAMOND PLATNUMZ, siku hiyo ilifanyika sherehe ya kukata na shoka ambapo alikua sambamba na mchumba wake WEMA SEPETU, kama huwajui na hujui sherehe inahusu nini unaweza kuhisi hiyo ni HARUSI YA WAWILI HAO, yani unaambiwa kila kitu kilikua ni kimataifa, ukumbi ulipambwa kama PEPONI nadhani mnaona picha zinajieleza, unaambiwa watu walikunywa na kusaza tena vinywaji vya bei mbaya, WEMA alipendeza kama malaika, yani unaambiwa DIAMOND alikua hachezi mbali na baby wake anaogopa mapedejee yasije kumdaka, mama mzaa chema nae alikuwepo alinoga akawa kama binti, ila madada zake Diamond hawakuwepo ambaye ni ESMA na HALIMA, lakini kaka wa Diamond anayeitwa Rommi Jones nae alikuwepo, mwisho wa sherehe DIAMOND alikabidhiwa gari aina ya BMW X6.

No comments: