Monday, October 27, 2014

YASEMEKANA ROSE NDAUKA HIVI SASA AWA PEDEJEE KAMA WEMA SEPETU NA KAJALA MASANJA.















Habari iliyopamba kurasa leo ni kuhusu msanii wa movie ROSE NDAUKA kwamba hakamatiki, Rose ambaye aliyeachana na mchumba wake hivi karibuni inasemekana kwamba toka ameachana na mchumba wake huyo anayeitwa MALICK MANDAWE mwanadada huyo amekua hashikiki kwani hakosi kwenye kumbi za starehe tofauti na mwanzo alikua haonekani kabisa kwenye starehe na pia inasemekana Rose hela zimemtembelea kinoma noma yani akiwa kwenye starehe yeye ni kutunza madola tu, sasa watu wanajiuliza je Rose alivyokua na yule mchumba wake alikua kama yuko kifungoni na sasa kawa huru, au Rose aliumizwa sana na yule mchumba wake ndio maana hivi sasa kaamua ajiachie asijipe stress. WEWE WAONAJE?

No comments: