tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry.
rahelimacdonald@gmail.com
0713-608524
Tuesday, October 21, 2014
MCHEKI MUIGIZAJI WA NIGERIA CHIKA IKE ALIVYOFANYA KUFURU YA HELA HUKO DUBAI
Msanii wa Nigeria huyo Chika Ike akijivinjari huko Dubai ambapo unaambiwa alikodi hiyo boat kwa dola elf 24,000 kwa muda wa siku mbili tu,SHKAMOO PESA, waigizaji wa kike wa kinaigeria wanahela kuliko wa kiume,,,,,,,,,,, mh ninyamaze mie
No comments:
Post a Comment