tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Monday, October 13, 2014
DIAMOND AONYESHA KIU KUBWA YA KUFUNGA NDOA NA MCHUMBA WAKE WEMA SEPETU
Embu tazama hii video ya Diamond akiwa anahojiwa na mtangazaji Sporah, ilipofika sehemu ya yeye kuzungumzia swala la mchumba wake Diamond aliongea kwa furaha na hamasa ya kwamba he is taken tena for good yani hatarajii kung'atuka kwa my love wake na pia akasema kitu kikubwa kilichopo mbele yake hivi sasa ni ndoa tu nawakati wowote watu tuandae matumbo na macho maana ndoa inakuja. embu angalia povu lisiniitokeeee wakati video ipo jitazamie mdau.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment