Ile filamu iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ya MAPENZI YA MUNGU leo ndio imeingia sokoni, ndani ya filamu hii aliyecheza kama kinara ni msanii LULU MICHAEL , pia yupo mama mzazi wa marehemu KANUMBA, na mwanamziki LINA SANGA nae yupo ndani ya nyumba, inasemekana hii filamu itakua ya aina yake NA MIMI LEO NAKIMBIA DUKANI KWENDA KUINUNUA ILI NIPATE CHA KUWAANDIKIA, WEWE UNASUBIRI NINI ? NENDA NA WEWE KAPATE NAKALA YAKO ILI UPATE CHA KUSIMULIA,
No comments:
Post a Comment