Wednesday, October 29, 2014

LEO MUIGIZAJI MREMBO GABRIELLA UNION AMEZALIWA

gabrielle union regina hall bet awards 2014 03
 
MWADADA HUYO KAMA MNAVYOMUONA ANAITWA GABRIELLA UNION NI MUIGIZAJI EXPENSIVE WA HOLLYWOOD LEO NI BIRTHDAY YAKE NA AMETIMIZA MIAKA 42, mmmhhh bidada anamiaka 42 lakini kama anamiaka 25,  anyway moja ya movie alizocheza ni pamoja na THINK LIKE A MAN 1 NA 2,


No comments: