BEAUTFULL SINTAH
Ni swala lisilo na ubishi kwamba hakuna star aliyefungulia kuandikwa magazetini kama SINTAH na AMINA CHIFUPA, yani hawa wawili waliandikwa mpaka wakapewa tuzo za kuandikwa sana kwa mwaka, kwa hiyo leo tukimuona our beautfull onyinye Wema Sepetu anaandikwa sana ni urithi kutoka kwa SINTAH ambaye ilimbidi akajichimbie nchi nyingine masomoni ndio magazeti yakamsahau ..
No comments:
Post a Comment