Wednesday, October 1, 2014

FLORA LYIMO MBUTA NANGA AMPA WEMA USHAURI .....INGIA USOME ZAIDI




Huyo ni mwanadada wa kichaga anayeishi UK, ni mfanya biashara anaitwa FLORA LYIMO au MBUTA NANGA. Leo Flora ameampasha muigizaji Wema Sepetu kuitia ukurasa wake wa instagram, amempasha kutokaa na zawadi alizopewa kwenye birthday party yake, Wema alipewa magari mawili moja likiwa limetoka kwa mchumba wake Diamond.

FLORA AMEMSHAURI WEMA KWAMBA ASINGELIKUBALI HILO GARI NA BADALA YAKE ANGEOMBA AFUNGULIWE DUKA AJAZIWE VITU VYA KUUZA LAKINI SIO GARI KWANI NI KITU CHA KUPITA NA KINACHOHITAJI MATUNZO,


ushauri ni mzuri ila Flora zawadi ni zawadi huwezi kumpangia mtoa zawadi atoe nini , kuhusu biashara hilo ni swala lingine, lakini zawadi tena ya surprise ni kitu ambacho kiko nje ya mpewaji kuchagua.

No comments: