Huyu ni muigizaji na mwanamziki wa Hollywood anaitwa Janefer Hudson hapo akiwa kwenye red carpet akiwa kavalia kivazi kinachoonyesha sidiria yake, wengi wameongelea hilo swala la Jenny kuonyesha hiyo nyonyo moja je we waonaje? alitokelezea au kachemsha?
No comments:
Post a Comment