Friday, October 24, 2014

DU HIVI NDIVYO HUYU MREMBO WA NIGERIA ANAVYOJUA KUTUMIA HELA ZAKE.

Huyo ni Chike Ike ambaye ni muigizaji wa Nigeria ambaye hivi sasa yuko mapumzikoni Dubai , Chika amekua akionyesha matanuzi ya hali ya juu anayoyafanya huko Dubai, hizi ni baadhi ya picha zake akiwa kwenye Helicopter riding na para sailing, SHKAMOO FEDHA....

                                                              CHIKA IKE NIGERIAN ACTRESS
 
 




No comments: