Wednesday, October 22, 2014

MCHEKI CHIKA IKE WA NIGERIA ANAVYOZIDI KUTANUA HUKO DUBAI








Wasanii wa kike wa Nigeria hasa waigizaji huwa wanajua hasa kujipa raha baada ya kazi ngumu ya kuigiza, mara nyingi utawasikia wako holyday nchi mbalimbali, na wakiwa huko basi matanuzi yake sio ya kitoto, ila huyu muigizaji Chika Ike yeye huwa anaongoza kwa matanuzi maana nakumbuka mwaka jana mwishoni alifanya kufuru ya hela huko ABU DHABI, okay, tunasubiri wengine niwarushie mapicha.

No comments: