MJESHI WETU HAPO JUU SASA ......MJESHI WA KIMATAIFA
Jamani hizo vita piganeni ila Diamond wetu yeye hajatangaza vita na mtu ye anajifanyia kazi tu na tunamuombea kwa Mungu azidi kumfungulia milango ya Baraka. haya mambo ya ugomvi hayajengi hatasiku moja.
1 comment:
Hayo yanakuzwa n mashabiki n vyombo vy habar amna lolote
Post a Comment