Namba moja ni miss world wa mwaka 1994 AISHWARYA RAI BATCHAN,yeye hivi sasa ni BOLLYWOOD star mkubwa sana, na amecheza movie nyingi mno na pia ameolewa na motto wa AMITAH BATCHAN anayeitwa ABHISHEKI BATCHAN ambae pia ni muigizaji na wamecheza movie ya pamoja inayoitwa KUCH NA KAH HO.
Namba mbili ni PRIYANKA CHOPRA naye ni kutoka BOLLYWOOD, pia huyu alishakua miss world na ameshacheza movie nyingi
Namba tatu ni kutoka TANZANIA naye ni WEMA SEPETU, huyu alishakua miss TANZANIA mwaka 2006, amepata mafanikio makubwa sana kwenye movie zake na hivi sasa ndie star namba moja kwa kupendwa na watu TANZANIA na EAST AFRICA kwa ujumla.
Namba nne ni IRINE UWOYA, huyu pia alishakua miss TANZANIA namba tano mwaka 2006, Irine amecheza movie nyingi mno na anamashabiki kila kona ya Africa mashariki na kati ambao wengi wao humjua kwa kupitia jina la OPRAH.
HAO NDIO MA MOVIE STARS AMBAO WAMETOKEA KWENYE MASHINDANO YA UREMBO NA WAKAFANYA VIZURI KWENYE TASNIA YA FILAMU.
No comments:
Post a Comment