tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Saturday, October 4, 2014
TAZAMA VIDEO JINSI KIM KARDASHIAN ALIVYOMSAHAU MTOTO WAKE HOTELINI NCHINI UFARANSA..
Hiyo video inamuonyesha Kim ambaye ni muigizaji na reality star akitoka hotelini nchini Paris akiwa anakwenda kuingia kwenye gari ili aende air port lakini ghafla akakumbuka kwamba kamuacha mwanae hotelini na akaamua kumrudia, sidhani kama hayo madai yana ukweli wowote ila kwa jinsi KIM KARDASHIAN anavyojulikana kwa kujipenda yeye mwenyewe na wowowo lake tu watu wanahisi ni kweli alimsahau maana huwa hakumbuki kitu zaidi ya kupenda kutoka nje na kupigwa picha na ma paparazzi, ILA MADAI HAYO KIM KARDASHIAN KAYAPINGA VIKALI KUPITIA TWITTER ACCONT YAKE KAMA MNAVYOONA HAPO CHINI...
TWEET ZA KIM HIZI HAPA CHINI...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment