WEMA SEPETU yani bidada leo katamani angekuwa bongo ili atie tim uwanjani.
IRINE UWOYA. yani huyu leo kageuka mwana kwaya wa yanga
DIDA SHAIBU. yani huyu toka asubuhi yeye ni kijani na njano tu ziko mwilini
RAY THE GREAT . yani kaka hapa ndo usiseme na yeye kageuka mwana kwaya wa yanga
ROSE NDAUKA. bi dada leo meno yote nje kapiga selfie akiwa anaelekea uwanjani
RACHEL KAYUNI TANZANITEMOVIES BLOGGER. leo macho yote kwenye social media kutazama wasanii wanaoishangalia team yangu ya YANGA.
ni hayo tu, kauli mbiu yetu ni TUSHINDE TUSHINDWE SISI NA YANGA DAIMA.
2 comments:
HahahaA! Wifi wa mie una mbwembwe! Nyc
ASANTE MWAYA KWA KUTEMBELEA BLOG
Post a Comment