Saturday, October 18, 2014

HAWA NDO WASANII AMBAO UKIWATOA DAMU ZAO UTAKUTA ZA NJANO NA ZIMEANDIKWA YANGA.......

Rachel Kayuni's photo.
 
WEMA SEPETU yani bidada leo katamani angekuwa bongo ili atie tim uwanjani.
 


      IRINE UWOYA. yani huyu leo kageuka mwana kwaya wa yanga


                     DIDA SHAIBU. yani huyu toka asubuhi yeye ni kijani na njano tu ziko mwilini


               RAY THE GREAT . yani kaka hapa ndo usiseme na yeye kageuka mwana kwaya wa yanga


 ROSE NDAUKA. bi dada leo meno yote nje kapiga selfie akiwa anaelekea uwanjani


RACHEL KAYUNI TANZANITEMOVIES BLOGGER. leo macho yote kwenye social media kutazama wasanii wanaoishangalia team yangu ya YANGA.


ni hayo tu, kauli mbiu yetu ni TUSHINDE TUSHINDWE SISI NA YANGA DAIMA.

2 comments:

nacy wandi said...

HahahaA! Wifi wa mie una mbwembwe! Nyc

TANZANITE MOVIE said...

ASANTE MWAYA KWA KUTEMBELEA BLOG