Monday, October 6, 2014

MUIGIZAJI HUYU AMEJITANGAZA KWAMBA YEYE NI MSAGAJI....

Anaitwa RAVEN SYMONE, wengi wamekua wakimfahamu kupitia picha zake za utoto zinazotumiwa sana instagram kwa kuandikwa maneno ya utani ndani yake kama mnavyoziona hizo mbili hapo chini, RAVEN ni muigizaji wa siku nyingi sana ambaye alianza kuigiza toka akiwa motto mdogo na kilichompatia umaarufu ni vichekessho vya FRESH PRINCE ambapo staring alikuwaga ni WILL SMITH Enzi hizo ni haka katoto ndo kalikuwaga katoto ka WILL SMITH kwenye huo mchezo kama sikosea, basi siku ya jana binti huyo amejiweka wazi ya kwamba yeye ni msagaji na anategemea kufunga ndoa na mwanamke mwenzake ambaye ni mpenzi wake wa siku nyingi hivi karibuni............Mungu tusaidie.
 
 
 
 

1 comment:

Anonymous said...

Kajinga haka nako