Monday, October 27, 2014

DIAMOND PLATNUMZ AWA GUMZO WEEK END HII...HAKUNA MSANII BONGO ALIYEFANYA SHOW KWA KIINGILIO CHA ELF SABINI NA WATU WAKAFURIKA ISIPOKUA YEYE.







Week end hii habari ya mjini ilikua ni shoo ya kufa mtu aliyoangusha DIAMOND PLATNUMZ pale mlimani city kwenye tamasha la siku ya msanii, unaambiwa MC wa siku hiyo alikua ni muigizaji Jokate Mwegelo, Jokate alishindwa kuvumilia na kujikuta akimsifia wazi wazi Diamond ambaye hivi sasa LEVEL ZAKE SIO ZA BONGO BALI NI ZA KIMATAIFA,  kikubwa kilichowafurahisha watu ni ukumbu kujaa wakati tiket za onyesho hilo ziliuzwa kwa shilling elf SABINI, wengi walisikika wakisema kwamba hizi ndo show anazotakiwa kuwepo DIAMOND kutokana na hadhi yake, kwamba zile show za buku tano za kwenye mavumbi sio hadhi yake tena labda ya mara moja moja tena aambatane na wasanii wa hadhi yake kama wakina Davido na Psquare, ,,,,,,,,,,,,




mh haya jamani hayo ni maneno ya mashabiki tu sio yangu nikisepeshe mie maana.....

No comments: