Wema na my love wake Diamond wakiwa ndani ya mahaba nilipukie, kama mnavyoona hapo Diamond anaonekana mwenye hisia kweli kweli, tofauti na anavyokuwaga akiwa na wachana wake wa nyuma, basi hizo hisia za Diamond ndo huwa zinamfanya Wema adate kabisaaaaaaaa. jamani achene Diamond aitwe Diamond.
Yani hapo Diamond alitaka mpaka kujikwaa lakini akang'ang'ana kumshikia sweet wake nguo fanya mchezo, kwa hali hii Wema ataacha kuchanganyikiwa na kumwaga kigogo aliyekua anampa mamillion na kua na Diamond wake...
Haya mambo Wema alikuwaga anayakosa huko kwingine huwa anayapata kwa Diamond tu ndo maana hata aje Bill Gate huyu motto huwa hadanganyiki ye ni Diamond tu kwa kwenda mbele..
Mwe jamani kaka zetu wa Bongo embu igeni huu u gentleman hata kidogo wajameni, mwanamke shurt anyenyekewe, afunguliwe mlango,afunguliwe kinywaji, avutiwe kiti, sasa kaka zetu yani wenyewe ndo wanataka wadekezwe na magoti wapigiwe, DIAMOND KUMBE AKIENDA HUKO MAULAYA KWENYE MA TOUR HUWA HACHEZI NGOLOLO TU BALI ANAJIFUNZA NA MAMBO YA U GANTLE MAN NA ANAKUJA KUYAPRACTISE KWA WEMA halafu watu wanasema ndumba hakuna ndumba hayo ndo mambo anayotakiwa kuyafanya kidume kwa demu wake.. sasa nimeelewa kwanini Wema alimvumiliaga Diamond toka akiwa hana kitu mpaka sasa mambo bam bam mpaka kijana anauwezo wa kumnunulia GARI, nakumbuka kipindi wanaanza Diamond alikua ana vitz na Wema alikua anampenda hivyo hivyo kweli mvumilivu hula mbivu.
NIMEONGEA SANA MPAKA POVU LANITOKA EMBU NISEPE MIE...............
2 comments:
yaani acha tu Rachel
wanaume wa kibongo waige mfano maana wanakuaga wagumu kama jiwe
Yan bonge la gentleman ndo maana hata mssmaje hawaachan coz kila mmoja anajua thaman ya mwenzie
Post a Comment