Tuesday, October 14, 2014

BILA HAWA WAREMBO BASI MAGAZETI HAYAUZIKI WALA VIEWERS KWENYE MITANDAO HAWAINGII KWA WINGI....

1.Huyu ni the queen her self Wema Sepetu, yani huyu binti kama unataka traffic kwenye blog yako basi muweke watu watakimbizana ndo maana kuna wakati mashabiki wanawalalamikia bloggers kwanini kila siku habari za Wema tu wapenzi ni kwasababu habari za Wema peke yake ndo zinazoongoza kusomwa na watu yani Tanzania nzima hakuna habari inayosomwa kama habari ya huyu mdada to be honest sio kwamba mi ni shabiki wake mkubwa hapana ila penye ukweli lazima pasemwe, wengi pia wanashangaa kwanini kila gazeti ni Wema tu hivi nani atanunua magazeti ya udaku kama Wema hayupo ni wazi siku hiyo manunuzi yatakua madogo, kwa hiyo hyu ndo THE QUEEN OF MEDIA AND SOCIAL MEDIA.
 

 


2.ELIZABETH MICHAEL AU LULU. huyu kwenye upande wa magazeti sijui kama anauza, na pia kwenye upande wa blogs nyingine sijui kama analeta traffic pia, ila kwa upande wa blogg hii ya TANZANITEMOVIES yani Lulu huwa NI SHEDERR, yani kama Wema atasomwa na watu 3000 kwa siku basi Lulu watamsoma watu 2000 halafu wengine ndo utakuta viewers wanadonyoadonyoa tu, kwa hyo hapa akitoka Wema bwana haka katoto ka Lulu kanafuatia, BILA KUSAHAU JAMANI WATU WANACHUKUA HYO NAMBA YA SIMU HAPO JUU NA KUNIPIGIA HOVYO WAKIDHANI MI NI LULU AU WEMA JAMANI HUU USUMBUFU ACHENI HIVI KWA AKILI ZA HARAKA HARAKA MNAWEZA KUFIKIRI LULU NA WEMA WATAWEKA NAMBA ZAO PRIVATE HADHARANI? yani nasumbuliwa mpaka usiku jamani mtaniua.











3. EHHHH HUYU NI RACHEL KAYUNI, hapo nimejipendelea mwenyewe, ni mimi blogger wenu, nisipojipendelea nani atanipendelea..
                                                 RACHEL KAYUNI BLOGGER TANZANITEMOVIES



















3 comments:

Anonymous said...

Haaaaaa,Rachel mimi piya nipo mihongoni mwawatu wanapenda tembeleya blog yako kilasiku kwa sababu una weka abari ya wema .nina hona kama wewe una weka abari zahukweli nice job my dear RACHEL

TANZANITE MOVIE said...

jamani nimekupenda msomaji wangu asante sana

Anonymous said...

nimeipenda blog yako ila please iwe ya kikweli kama ilivyo isiwe kama ya Ceo inastory za watu zisizo na maendeleo .
Huyo anonym... wa juu ana H H H nyingi