- Anonymous said...
- Nina imani katika mashabiki wa wema wewe ni mmoja wa ambao wanapata bahati ya kuonana nae au hata kusalimiana na hata kama si kusalimiana nae basis una uwezo wa kumshawishi aje akisome hiki ninachokiandika. Nampenda sana wema sana tena kiasi hata nashindwa kuelezea.. Sipendezwi kwake na kitu kimoja tu.. Kukaa kimya kimya kukaaa bila kufanya kazi.. Nampenda kuona akitolewa kwenye magazeti kwa habari za katoa filam hii anazindua filamu hii au filamu take imeuza zaidi kuliko wasanii wrote naimani hill kwake halishinsikani. Pengine wakati baby take anachukua tuzi huku yeye nae angekuwa ashachukua zake hata mbili... Inaniuma sana kuona yupo yupo tu umaarufu wake umebaki kwa kuwa na dai tu. Hana chochote anachofanya cha maana. Nashindwa kuelewa hata huyu manager wake anamshauri nini anammanage na kwa kazi IPI????? Kweli inasikitisha sana tena sana binafsi naumia nampenda kumuona yupo happy na anafanya kazi zake na tuzo anachukua uwezo wake na nyota take hakuna msanii anaemfikia hapa bongo. Kwanni analala kwann hatumii hii nafasi kwa sasa anatakiwa ajue umri unaenda. Asiishie kuandikwa kwenye magazeti kwa kushiriki vigodoro vya watu. Naomba wema Mimi kama shabiki yako ninaekupenda kwa dhati naomba uleye kazi zako sokoni naomba utufurahishe. Naomba uwajibikemwanamke. Naomba usilewe sofa na umaarufu wa kijinga. Nakupenda sana wema sepetu.... Naumia kwa hili I wish ningepata kujuanmini unawaza???? Juu ya kazi na una mpango gani na hiyo kampuni ulioianzisha hadi Leo hakuna movie hata moja sokoni... Wema plssss I love you
tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Sunday, August 3, 2014
WEMA SEPETU MANENO YENYE KUJENGA KUTOKA KWA SHABIKI WAKO
1 comment:
-
-
This lady has starting discouraging us really. If she knew how her fans love her she wouldn't stay quiet like this. Go back in ur normal track Wema kwa kweli siku izi huna jipya, we thought u're independent girl but now ni kama we was wrong ni kama dependent girl and that makes us down kabisa yaani
- August 3, 2014 at 10:21 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)