









Kuna mtu kanitumia msg anasema ameshangaa kuona Diamond hakuwepo nyumbani kwa Wema Sepetu juzi ambako ilifanyika birthday party ya Romy Jones, na baadae birthday hiyo iliamia club ambako Wema nae hakwenda, sasa eti je walikua wanakwepana au wanatofauti.? UKISIKIA KUSUTWA NDO HUKU SASA JAMANI HAYA MAMBO YA NDANI YA NYUMBA YA WATU MNATAKA NIYAINGILIE WAJAMENI, NIKISUTWA MTANISAIDIA KULA KISUTO MIE RACHEL WA WATU?
NA PICHA YA CHINI NI DIAMOND NA ROMY WAKIWA CLUB AMBAPO WEMA HAKUWEPO.

No comments:
Post a Comment