Wednesday, August 13, 2014

USHAURI KWA WEMA KUTOKA KWA WADAU WA MANGE KIMAMBI.





YOUSOU
Nampenda sana Wema lakini tatizo langu kwake ni kwamba yani akiwa na huyu Daimond anakuwa ni kama “gumegume” yani anakuwaje sijui.Yani ile classy inatoka na kuwa trashy.Yani me pamoja watu husema Wema Malaya lakini bora hata alivyokuwa na yule kigogo wake Wema alikuwa classy lakini sasa hivi kawa haeleweki kabisa.She is always preaching about being a star and living like one lakini huku kukatika stejini naona ndio ustaa mpya kwa Wema.Yani Wema akiwa na Daimond sijui anakuwaje yani kama msukule,jamani mapenzi gani haya mabinti mliokuwa nayo?!thamani yenu inaisha bila kijuielewa.Maisha yenyewe na mbwembwe zote sasa zimeisha.Enzi za Wema kila mtu alikuwa anamjua Wema akiingia mahala Wema anastua watu,lakini siku hizi mara sijui kwenye magodoro mara sijui manini basi shida tupu.To make the matter worse hayo Daimond na Romy sijui wote wanaishi kwa Wema hahaha yani hii ni shida.Daimond kama ni mwanaume kweli na unampenda mrembo si umnunulie nyumba na wewe ili muishi wote ila sio kwa jasho la mwanaume mwenzako.Wema tunakuhesabia siku utakuwa wa kawaida sasa hivi.Yani for some reason Wema akiwa na Daimond yani me sielewi kabisa,iga wenzako waliokuwa maarufu mjinikama Amina Chifpa R.I.P na hawakusettle for less mpaka wanakufa bado maarufu na majina yao hayatasahaulika .Anyways wacha picha eiendelee.



Nakuunga mkono na miguu yaani daaah! Ni sheder’r’r’r’r…. amejisahau kama vile hajui kuwa kuna ndoto zake pia alizozipenda maishan hapo alipo kama msukule kweli yan anaish Kwa kutimiza ndoto za nasibu. .. Nasibu Bado yuko stage ya kichovyachovya ha jawa mature enough kuitwa husband he is like teenager still . Na wema wewe ni mkubwa kuliko diamond sasa nategemea ungejiongeza akili ukawa na huyo umpendae ila rudi ulipotereza timiza ndoto zako. . Dem mwenyewe hata elimu huna.wake up wema …. wema ulikuwa dem wa kucheza vigodoro wewe? Wema ulikuwa dem wa kudhalilika kiasi hiki. . Dah. .. ngachoka mie!!!!! Toka hapa na vigodoro Vyako :ass-kicking: :ass-kicking:


yousou umeongea point 100% yani namuonea huruma wema,mpaka atasahau kingereza,manake kampani anayokutana nayo ni ya tandale,icho kingereza ataongelea wapi na mama diamond ,romy jons sjui kifesi,yani majina ya ajabu.na uyo aunt ezekiel namuonea huruma mume wake,ndo maana hata haangaikagi kumuadvataizi mume wake,manake kaolewa jina,yeye ndo mume ndo mke ndani.yani kwa kifupi wema kajishusha hadhi,ndo maana anafanana na mawigi yake anayovaa siku izi,not classy at all like before.yani mpaka naona lulu atampita,she is respecting herself.naongea kwa uchungu coz i love wema so much
lucky
Reply
Yousou 100% ni ukweli uliyoandika hapo. Me ni tofauti kidogo na wengine ambao mapenzi kwa Wema yamekimbia kama sio kutoroka… sorry so say this ni pale aliporudiana na Diamond, niliacha kumpenda kwa kweli YES ni uamuzi wake but na mimi ni mapenzi yangu kwake yalikimbia then before hii kutokea, Wema alikuwa na maisha perfect kweli, haya sio ya sasa. Pamoja na hayo yote nilitegemea Diamond kwa kuonyesha kuwa yeye na zaidi ya yule aliyekuwa nae Wema mwanzo angemuhamisha katika nyumba aliyopangiwa na ex-boyfriend wake… bila ya aibu wala haya unatinga ndani na kulala humo humo shameon you…. Sasa
 
mnunulie Mama Wema gari nampenda sana yule mama always anaongea point kuhusu mtoto wake
jamani wema unavyoongelewa kila mahali tena kwa kusikitikiwa huoni au ni nn c kila mtu anaekusema anakuchukia wengi wanakupenda na wanapenda mafanikio yako wema ww c yule wa miaka ya 2010 mtoto ulikuwa adimu ukipita kila mtu anataka kumuona huyo wema ila ss hv sanasana mtu akikuona anakuangalia kwa masikitioko maana ushapotea soon tutakusahau huoni mamiss wenzio wanajielewa huyo dimond cjui ndo anakuchanganya akili au ndo mara ya kwanza kupenda kwa kweli tunashindwa kukuelewa ebu fanya kitu chenye kukupa heshima mjini. hata kama huyo dimond anakulipa kukatia stegini c handi yako unajishusha sana ila kama unaenda kwenye vigodoro cjui na mavitu gani ya huko uswahilini ni kukatika stegini utashindwakama ww tu anakumeneji ujinga. yani unabore mbaya kabisa :ass-kicking: :ass-kicking: :ass-kicking:


Kweli aisee, Wema mamaaa you look so cheap, down low ghetto, yani ukimwambia mtu wewe nimsomi tena ulisha shinda u miss una influence kubwa namna hiyo bongo, puu, you dont look like that. utaishia kusifiwa matako makubwa hehehe na miaka inapita. Mamiss wenzio waone sasahivi, mbona hawafanyi hivi? mambo ya vigodoro sijui nininini cheap cheap style uswahilini waachie wenyewe mamaa. you used to be another class, embu sasa jione kwenye hizi picha. ata kama ulilipwa but you look too cheap and ghetto, you can do something else and make so much money looking classy, this is not how Wema Sepetu should be seen at all. Im talking just out of love. badilika.








HIZO NI BAADHI YA COMMENT ZA WADAU WANAOMPENDA WEMA KUTOKA KWENYE BLOG YA MANGE KIMAMBI.
 na huyo cjui ndo meneja wako nae zero brain

No comments: