BIG KENNEDY AKIWA NA SPORAH NJAU
BIG KENNEDY MATHIAS LEO HII AKIWA NA ABBY NA GIMY KABWE CHOICE FM.
BIG KENNEDY, HIS DAUGHTER CHANELLE,ABBY AND GIMY KABWE.
BIG KENNEDY ni kijana mdogo wa kitanzania anayeishi UK ambaye ni maarufu sana hukoUK kwenye swala Zima la uhandishi wa vitabu,mpaka sasa ameshandika vitabu sita, pia ni muandishi mzuri wa mashairi, huwa napenda sana nikiona kijana wa kitanzania yuko nchi nyingine anafanya mambo makubwa, Kennedy ni mfano wa kuigwa sana, ukimsikiliza na kufuatilia post zake kwenye facebook page yake lazima utajikuta unaamka na kufanya jambo la maana katika maisha,
MFUATE KWENYE FACEBOOK KUJUA MENGI KUHUSU YEYE NA MWANAE CHANELLE, JINA ANALOTUMIA KWENYE FACEBOOK NI KENNEDY MATHIAS.
No comments:
Post a Comment