Tuesday, August 19, 2014

MTOTO WA WEMA SEPETU NA WIFI WA WEMA SEPETU NDANI YA MAHABA MAZITO





MAHABA NILIPUE JAMANI,,,,,,,,,si siri tena , huyo ni Petit man wamuache ambaye ni mmoja wa wafanyakazi kwenye kampuni ya Wema sepetu ambaye hivi sasa anajimahabisha na dada wa damu wa mwanamziki DIAMOND PLATNUMZ anayeitwa ESMA.


UNAONAJE MDAU, WANANOGA PAMOJA AU?

No comments: