tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry.
rahelimacdonald@gmail.com
0713-608524
Saturday, August 2, 2014
GRADUATION YA MTOTO WA KAJALA MASANJA PAULLITE.
JUZI MTOTO WA KAJALA MASANJA AMEMALIZA MASOMO YAKE YA SHULE YA MSINGI, jamani watoto wa siku hizi wanakua yani ukikaona ka Paula unaweza ukasema ni kadada kumbe ni katoto ka miaka 12 tu, hongera sana Paula na Kajala pia kwa kukuza.
No comments:
Post a Comment