Loe muigizaji mdogo na mrembo wa bongo movie Elizabeth Michael ametupia picha ya mama yake kwenye mtandao wa instagram na kumsifia jinsi mama yake anavyofanana na yeye hasa akiwa anacheka, Lulu hakuishia hapo aliendelea kwakusema kwamba ameweka picha ya mama yake lakini asingependelea kuona comment za matusi au maneno yoyote mabaya kwani huyo ni mama yake na ni roho yake na yuko tayari kupambana na yeyote yule atakayeonyesha kutokumuheshimu mama yake, Lulu pia alisema yeye siku zote huwa hana tabia ya kujibishana na watu lakini kwa atakayeamua kumsema vibaya mama yake basi watamtambua kama na yeye matusi anayajua.
NI HAYO TU.
No comments:
Post a Comment