Monday, August 25, 2014

HIVI MNAJUA NI KITU MUIGIZAJI LULU MICHAEL AMBACHO HUWA HAWEZI KUKIVAA?


Huyu ni muigiza Lulu Michael, kama mnavyomuona ni mrembo wa haja na anapenda sana kujipamba na kwenda na wakati kwenye swala Zima la mavazi, lulu atavaa hereni na cheni za kila aina, lulu atavaa viatu vya kila aina, nguo ndo usiseme, handbags ndo balaa, ILA KAMWE HUWEZI KUMKUTA LULU AMEVAA SUNGLASESS, KILA KITU KINAKWENDA KWA HOBBIE KA LULU KETU MASWALA YA MIWANI KAMEWAACHIA WAKINA WOLPER.


KESHO NTAWALETEA KITU KINGINE MSICHOKIJUA JUU YA MSANII KAJALA MASANJA.


No comments: