Okay,,,, naona ni mwaka wa ma lovey dovey huu, mchekeshaji maarufu wa Marekani Kelvin Hart amemvisha pete girlfriend wake wa muda mrefu anayeitwa ENIKO, juzi ilikua ni siku ya kuzaliwa ya huyo demu akiwa anafikisha miaka 30 ndo mzee mzima Kelvin akaamua afanye mambo kwa kumsuprise na pete ya uchumba iliyosindikizwa na sifa kem kem kwamba mschana huyo amekua wa muhimu sana kwenye maisha yake.
No comments:
Post a Comment