TARAJ P. HENSON
Idris Elba ni muigizaji wa uingereza ambae ameshacheza na wasanii wengi wa Hollywood, basi baada ya ile movie ya OBSESSED aliyocheza na BEYONCE, hivi sasa producer wa movie hiyo ya OBSESSED ameamua kumrudisha ulingoni muigizaji huyo lakini safari hii atacheza na mwanadada mahili anayeitwa TARAJ P. HENSON na movie yao hii mpya inaitwa NO GOOD DEED.
ANDAA POPCON NA PEPSI YAKO MOVIE SI YAKUKOSA HII.
No comments:
Post a Comment