Saturday, August 23, 2014

KIM KARDASHIAN VS SHAMSA FORD


                                 KIM KARDASHIAN NA MWANAE



        SHAMSA FORD NA MWANAE


Walah katoto ka Shamsa utafikiri kaje kumuoa motto wa Kim maana wamependezaje pamba zao, anyway mi nimependa sana muigizaji wa bongo movies Shamsa alivyovaa sare na mwanae pia Kim nae jana alipigwa picha akiwa amevaa almost sare na mwanae, ukiniambia nichague kati ya hawa mastar wawili nani kapendeza jibu langu niiiii SHAMSA FORD NDO KANIVUTIA, YES SHAMSA FORD, KWANI YEYE MWENYEWE NGUO IMEMPENDEZA NA MTOTO IMEMPENDEZA PIA, ILA KIM MWANAE NDO KAPENDEZA YEYE ILE SKIRT ALIVYOCHOMEKEA IMEONA KAMA KAVIMBA HIVI SIJUI KWASABABU SHIRT NI KUBWA SANA I DONT KNOW, NA IMAGINE HAPA KAMA KIM ANGEVAA STYLE YA SHAMSA ANGEPENDEZA MNO.

No comments: