Thursday, August 14, 2014

WEMA HAPO ZAMANI KULIKUWAGA NA AMINA CHIFUPA NA SINTAH.










SINTAH

Well, kama umezaliwa juzi basi utakua hujui, lakini kama ulikuwepo miaka ya 2000 mwanzoni nadhani hutabisha hili, HAKUNA WANAWAKE WALIOWAHI KUA MAARUFU HAPA TANZANIA KAMA AMINA CHIFUPA NA SINTAH, unabisha? sasa Wema mdogo wetu tunataka ujifunze kupitia hili, kwa bahati mbaya Amina hatunae tena ila SINTAH yupo kajaa tele, siku hizi kwa miezi sita mara moja ndo unaweza kukuta kaandikwa gazetini, na asingekua na blog ndo watu wangemsahau kabisa, ila uzuri ni kwamba Sintah hajalala tu ni mjasiriamali mzuri na anaendesha maisha yake bila kua tegemezi, sasa Wema jifunze pia, kwanza kabisa umaarufu ulionao leo haujawahi kufikiwa na jinsi walivyokuwaga hawa wawili, tena kipindi kile kulikua hakuna ma instagram, watu walikua hawashindi kwenye ma internet je hawa watu wangekua sasa hivi na haya maendeleo sijui ingekuwaje, WEMA anatakiwa ajue hawezi kua maarufu daima, vitoto vizuri vinakuja vikina MENINAH, msikilize MARTIN uanze kufanya mabadiliko.





No comments: