Tuesday, August 19, 2014

LEO NI ZAMU YA MTANGAZAJI DIDA.....








Ntakua nawaletea waigizaji tofauti tofauti na mashabiki muwashauri vitu tofauti tofauti ambavyo mmekua mkitamani labda kuwashauri either waongeze au wapunguze, leo tunayemuigiza wa kundi la kaole ambaye hivi sasa kajikita kwenye utangazaji DIDA, je ukipewa nafasi ya kumshauri DIDA juu YA MAVAZI, unafikiri ungependa kumwambia ni aina gani ya mavazi ambayo akivaa itakua inamtoa bomba haswa?






No comments: