Thursday, August 28, 2014

HII NDO MOVIE YA KWANZA KUWAKUTANISHA WEMA SEPETU NA JACKLINE WOLPER.



                                                             JACKLINE WOLPER

WEMA SEPETU

Mnaikumbuka hii movie, inaitwa RED VALENTINE, hii movie ilipendwa mno na watu ilipotoka, kipindi hisho Jackline na Wema walikua bado wadogo wadogo na kama sijakosea hii ndo ilikua movie ya kwanza kwa wao kucheza pamoja,



No comments: