Huyo ni Martin Kadinda, nimemuweka humu kwasababu ni maneger wa Wema Sepetu, Martin bwana mi huwa ninapenda sana kazi zake hasa zile za kiafrica za kwachukwachu, lakini pia ni kijana asiyekua na makuu kabisa, na huwa anaongea na kila mtu, anamaono ya mbali, na akiwa na urafiki na mtu basi huwa ni muaminifu yani huwa ni rafiki wa kweli,
No comments:
Post a Comment