Sunday, August 24, 2014

MWANAMZIKI IGGY AZALEA NDANI YA MOVIE YA FAST AND FURIOUS 7.


                                                            IGGY AZALEA




Ile movie inayosubiriwa kwa hamu ya FAST AND FURIOUS 7 iko njiani inatoka mwakani mwezi wa nne, japo kutakua na pengo kubwa kwasababu marehemu PAUL WALKER hatupo nae lakini kutakua na shauku kubwa kwani ndani ya movie hiyo atakuwepo mwanamziki IGGY AZALEA WAMAREKANI, Mwanamziki ambaye anamyima usingizi NIKI MINAJ. hii movie itakua si yakukosa kwa sisi wapenda movies.

No comments: