Thursday, August 14, 2014

BRING BACK OUR WEMA SEPETU........hili ndo neno la mujini hivi sasa.


kasweet ketu kanalalamikiwa kamebadilika sana, huyu ni muigizaji mrembo mwenye jina kubwa kuliko waigizaji wote wa kike WEMA SEPETU,  inasemekana kwamba Wema akiwa kwenye mahusiano na Diamond anajisahau na kuanza kufanya mambo yasiyo na msingi na pia anasahau kazi, kali kuliko zote ni ile juzi akiwa mwanza kwenye tamasha la fiesta Wema alipogeuka mcheza shoo wa Diamond na kuanza kukatika mitindo ya faragha, Wema analalamikiwa hata mavazi yake siku hizi hayaeleweki, mitindo ya nywele sifuri, kutwa kwenye vigodoro, amezungukwa na marafiki wasioeleweka wanafanya nini kwenye maisha yani wenyewe mchana ndo usiku usiku ndo mchana, Wema analalamikiwa hatoi movie yani MPAKA SHABIKI NAMBA MOJA WA WEMA DOGIE MASTA14 kaingilia kati na kuamua kumpasha Wema ukweli ujue hii imefika kwa shingo.

ANYWAY KWENYE MAISHA KILA MTU KUNA KIPINDI ANAFANYA MAMBO AMBAYO KWA WAKATI HUO ANAYAONA NI SAHIHI LAKINI KUMBE SI SAHIHI, WAPO WANAOWAHI KUBADILIKA NA WENGINE HUCHELEWA, TUNAMUOMBEA MUNGU AWAHI KUBADILIKA MAANA KAUMRI NAKO KANAKIMBIA, NA PIA HAKUNA MWANAUME ANAYETAKA KUOA MWANAMKE KICHWA MAJI KWA HIYO WEMA KAMA KWELI UNAMPENDA DIAMOND BASI AMKA NA UFANYE KITU KWENYE MAISHA.

No comments: