Sunday, August 3, 2014

KICHUNA WETU WA JUMAPILI HII NI.... KAJALA MASANJA







Huyu bidada bwana ninachompendea huwa nimpole huwa hata kuongea anaonaga aibu, pia ninampenda sana saa ya kumuhoji, huwa yuko tayari umuulize swali lolote kuna wengine wakiwa wanahojiwa huwa wanakataa kuulizwa maswali mengine lakini Kajala huwa yuko tayari kwa lolote, kingine Kajala ni mrembo sana wa umbo jamani na bila kusahau nampenda sana akiwa amenyoa kipara chake kile, huwa anakua na uzuri wa asili na anaonekanaga mdogo kweli, ok byeeini.


No comments: