Monday, August 4, 2014

ALI KIBA AKANUSHA KUWA NA UHUSIANO NA MUIGIZAJI LULU MICHAEL.






Katika mahojiano yake na global tv inasemekana Ali Kiba amekanusha ule uvumi wa siku nyingi kwamba yeye na Lulu ni wapenzi, Kiba kasema Lulu ni binti anayependa tu kazi zake na nimarafiki wa karibu, pia kiba kamsifia kwamba Lulu ni mschana mchakarikaji hivyo anafaa kabisa kua mke,




ILA KIBA BWANA HUWA MSIRI HAMUWEKAGI DEMU WAKE HADHARANI, NA KALULU NAKO KASIRI HAKAWEKAGI WAPENZI WAKE HADHARANI,

No comments: