BEYONCE JAY ZEE
LAKINI KUNA BAADHI YA WATU WAMENITUMIA MSG, wanasema uchezaji wa Wema ulizidi mipaka hasa ukizangatia yeye ni star mkubwa tu wa movie hata kama alienda kucheza pale jukwaani basi angecheza kuendana na hadhi yake na si kucheza kama alivyocheza juzi, mmoja wa shabiki alisema kwamba hata beyonce inapotokea akazidisha sana kucheza kihasara wamarekani huwa wanamsema sana japo kule ndo maadili hamnakabisa, pia Wema kama mchumba wa mtu ambaye anatarajia kuolewahivi anatakiwa ajiangalie matendo yake kwani hakuna mwanaume yeyote wa kiafrika ambaye atkua tayari kuoa mwanamke anayecheza vile jukwaani.
HAYO NI MANENO YA MASHABIKI WAPENZI NA MI HUWA SITAKI KUBANIA MAWAZO YAO,
2 comments:
Ni kweli hata Mimi sijapenda uchezaji wake.. Haladu kingine kwanini anasaposti kazi za mwenzie..???,yeye zake atatoa link nae asapotiwe???,au ndio kaishaamua kuisho kwa kuhongwa???
Hmmmm,uwezi kufananisha wema na beyonce ,beyonce na mume wake ni wahimbaji .wema sioye muhimbaji ndiyo wema atukatahe ku sapoti mpenzi wako lakini siyo kuwa dansa wa mpenzi wako.wema nakupenda sana amuka kwa nini siku izi unakuwa ivyo?ingiza filamu sokoni wema.mbona una jitowa sana kwa diamond na bado ata aja kutiya nyumbani?sasa wakati ata kutiya ndani uta zimika kabisa.wema wewe ni musani Wangu number 1 amuka mdogo Wangu ujachelewa bado nakupenda sana wema
Post a Comment