Tuesday, August 26, 2014

HII MOVIE YA KINAIGERIA YA CRY FOR HELP INAWEZA KUKUTOA MACHOZI





NKIRU SYLVANUS


Hii movie ya CRY FOR HELP ilichezwa zamani na star wa movie ni huyu dada muigizaji wa Nigeria anaitwa NKIRU SYLVANUS, yani jamani kama unamachozi ya karibu lazima ulie ukiitazama hii movie, yani huyu dada alifiwa na mume wake aliteswa na ndugu za mume na kuzomewa na kijiiji wakimshutumu kwamba yeye ndo kamuua mumewe, ilifika kipindi mpaka wakamlazima chumba kimoja na maiti ya mumewe na wakamwambia aiogeshe maiti kasha yale maji yaliyooshewa maiti ayanywe, lakini mwisho wa siku akaja kuokolewa na mchungaji na baadae akapata mume mwema akaolewa. ni movie nzuri mno.

1 comment:

Anonymous said...

kweli ni movie nzuri sana hata mimi naipenda sana....nakumbuka mara ya kwanza kuiangalia nililia sana mpaka nikaacha kuiangalia