Nisameheni wapendwa nilikuwa busy kidogo na majukumu ya hapa na pale nikashindwa kublog,nashukuru sana kwa wale waliotumia muda wao kunitumia msg na kunipigia simu kuniuliza kulikoni niko kimya. nimerudi make tayari kupokea ma habari ya movie toka dunia nzima na mapicha ya haja.
3 comments:
Jamani dada Rachel mimi ni me ku miss sana,nilikuwa niki chunguliya akuna abari.welcome back my dear
jamani nashukuru sana mwaya kwa support yako
Sawa wifiake
Post a Comment