LULU MICHAEK
Muigizaji Lulu hapo miaka michache ya nyuma alikuwa aheshimiki kabisa kwenye jamii kutokana na tabia zake zilizokua zinaonekana kupitia magazeti zile za kwenda kwenye starehe na vinguo vya ajabu akiwa chini ya miaka 15, kulewa chakari, anyway mi nafurahi sana ninapomuona Lulu wa sasa, Lulu kawa Lulu kweli kama jina lake, kajibadilisha kawa very classic, anavyoongea , anavyoishi yani kila kabadilisha mwenendo mzima wa maisha yake, kwa mtindo huu hakika atafika mbali,
YUPO MUIGIZAJI MMOJA NAE AKISTUKA AKABADILIKA YANI HUYO ATAFIKA LEVEL ZA KINA LUPITA, LAKINI ASIPOSTUKA AFTER 2 YEARS HAKUTA KUWA NA MTU WA KUTAKA KUMSIKIA TENA, NAMPENDA HUYO MUIGIZAJI KILA SIKU NATAMANI ABADILIKE , SIKU AKIBASILIKA NTAWALETEA HUMU NDANI NA KUYASIFIA MABADILIKO YAKE.
No comments:
Post a Comment