Sunday, November 2, 2014

KIM KARDASHIAN NA KANYE WEST WANATEGEMEA KUPATA MTOTO WA PILI, INGIA UONE KITUMBO NDII CHA KIM KARDASHIAN



       KIM KARDASHIAN WEST NA MUMEWE KANYE WEST
 
Juzi Kim na Kanye walikuwa kwenye LACMA ART AND FILM GALA huko LA, ambapo Kim alitokelezea na gauni zuri kama mnavyoliona hapo juu huku gauni hilo likimuonyesha akiwa na kitumbo ndii wakati sio kawaida ya Kim kwani Kim huwa anakatumbo flat kabisa, na kwa kuwa Kim ameshakaririwa mara nyingi na vyombo vya habari akisema kwamba yeye na mumewe mwanamziki Kanye West wanataka sana kuongeza motto wa pili, basi juzi Kim alivyoonekana na kitumbo hicho kila mtu ameamini kwamba yale maneno ya Kim ya kutaka kuongeza motto sasa yamekuwa vitendo.


MAHABA NILIPUE .
 





Yani Kanye kwa Kim kafika,

No comments: