Hiyo ndo movie mpya ambayo Ray ameitoa mwezi huu, na sasa ipo madukani, humu ndani mrembo wa kichaga Jackline Wolper yupo pia model maarufu Hamisa Mobeto ndani ya nyumba, Ray mwenyewe lakini bila kumsahau muigizaji anayekuja kwa kasi sana GABO nae yupo.
UNASUBIRI NINI KWENDA KUINUNUA MOVIE HII, NA KWANINI USUBIRI KUSIMULIWA NA TANZANITEMOVIES, EMBU WAHI UKAICHEKI MIMI KAMA KAWA JIONI NI POP CORN , PEPSI YANGU, JUU YA SOFER, NAANZA KUICHEKI MOVIE,
No comments:
Post a Comment